Husika na Kichwa cha habari hapo juu Mimi ni Msichana wa umri wa Miaka 21 , Nimeanza mapenzi muda kidogo , Boyfriend wangu wa kwanza nilikuwa na Miaka 18 nilikaa nae miezi sita tu tukaachana sababu anasema mimi sio mtamu na alikuwa haenjoy tukifanya tendo kwa vile muda wote mimi ni mkavu huku chini hata akiniandaa vipi tukishaanza tu nakauka, Wa pili nae akawa analalamika hivyo alijitahidi lakini ikafika wakati akawa hadi anachubuka sehemu zake Akaniacha, Kwa sasa ninae mwingine mpya sijawahi fanya nae kitu chochote kila siku nampiga tarehe kwa kuogopa nae atanikimbia ..Naombeni ushauri Nifanye nini ama nitumie dawa gani .
Tuesday, August 1, 2017
Mwanamke Kukauka Maji Sehemu za Siri Wakati wa Majambozi..Please Help
About Uknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment