Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Tuesday, August 29, 2017

Wanawake wa Tanga ni Nomaaaaa!!!! Nimenyosha Mikono




Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha khaaaaa!!!! Aisee sijawahi ona,Juzi nikawa nimekula nimeshiba sana,sasa nikawa nimejamba bahati mbaya akaniambia """ baby pole haujaumia"!!!!!! Yaani kujamba mtu anaumia???? Aiseee hapa sitoki lazima nioe yaani naona dunia yote yanguuuu Trump namuona mtoto mdogooo sanaaa yaani najiona Mimi ndo mfalme wa dunia

Nilipanga sitokuja kuoa lakini lazima nioe yaani siwezi kubali huyu binti aende kwa mwanaume mwingine,yaani kumpoteza huyu binti ni sawa na kupoteza trillion miaaaaaaaaa

TOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment