Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.
1) Ana boreka haraka –
Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa
kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki
asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na wanaishia
kuwa friends with benefits.
2) Marafiki wengi wa kiume –
Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu
anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia
anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi
wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na
mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.
3) Anapenda attention –
Wanawake wanaopenda attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi
hasa ambao hawataki kuwa committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana
attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana attention hawezi
ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.
4) Anapenda vitu “material things” Wanawake
wengi wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka
kwa waume zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine
ambaye ana uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake
kwenye instagram.
5) Ana marafiki ambao ni michepuko – Umeshasikia usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao haraka sana.
5) Ana marafiki ambao ni michepuko – Umeshasikia usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao haraka sana.
6) Anapenda kufanya ngono kuliko wewe –
kila mkimaliza kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena,
na wewe humtimizii basi lazima tatafuta serengeti boy ambaye
anamsikiliza na kumpa anachotaka.
7) Anaujuzi kitandani kuliko wewe – Wewe kama umeshawahi kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu ambaye anajua kucheza kuliko wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae chini kabla hujaaibishwa, au kama wewe ndio unayejua kucheza vizuri utatafuta mtu mwingine anayejua kucheza kama wewe. Kwenye tendo la ndoa ni hivyo hivyo kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe, inabidi ufanye mazoezi ufikie kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu atasubiri wimbo ukiisha akakae chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza kama yeye.
Demu wako au mchepuko wako una tabia moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu? Usisite kuacha comments hapo chini.
No comments:
Post a Comment