Ndoa nyingi zimevunjika kwasababu ya tatizo la uke la mke kutoa harufu mbaya na hili tatizo linalowasumbua wanandoa/wanawake wengi walio-olewa na walio nnje ya ndoa.
Wapo baadhi ya wanawake wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo lakini cha kushangaza hawana muda wa kutafuta tiba za kumaliza tatizo lao. lakini wapo wanawake wachache wenye busara,ambao wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo na wangependa kujua sababu na jinsi ya kulimaliza tatizo.
SABABU;
1.BACTERIAL VAGINOSIS
Kwa mujibu wa madaktari, inasemekana kuwa hili ndio tatizo namba moja linalosababisha uke kutoa harufu mbaya. Inawezekana ukawa msafi lakini ukisumbuliwa na hili tatizo basi lazima uke wako utatoa harufu mbaya.

Kila uke una bacteria ambao wapo kimaumbile kwa ajili ya afya njema ya uke wako, Lakini kama ikitokea hawa 'Bacteria' wakazidi na kuwa wengi kupita kiasi ambacho uke wako unaweza kuhimili ndio hapo hiki kitendo kinaitwa 'Bacterial Vaginosis'.
Sababu zinazosababisha 'Bacterial Vaginosis' hazijulikani kwa usahihi lakini madaktari wanasema tendo 'zembe' la ndoa na wanaume wengi au na mwanaume asietulia inalete tatizo hili. Mara nyingine inatokea kimaumbile bila sababu.
DALILI;
- Uke kutoa maji maji mazito au mepesi yenye rangi ya njano(yellow) au Brown yenye harufu mbaya
- Maumivu kwenye maeneo ya kiuno au nyonga
- Unaweza usipate au ukapata maumivu ya kichwa.
- Uke wako unaweza ukawa unawashwa au usiwashwe

2.YEAST INFECTION
Lipo kama 'Bacterial Vaginosis' ila tofauti yake ni kuwa kwenye 'Bacterial Vaginosis' waliokuwa wamezidi ni 'Bacteria' lakini huku wanaozidi ni 'Fungu inajulikana kama 'Candida Albicans'.
Lipo kama 'Bacterial Vaginosis' ila tofauti yake ni kuwa kwenye 'Bacterial Vaginosis' waliokuwa wamezidi ni 'Bacteria' lakini huku wanaozidi ni 'Fungu inajulikana kama 'Candida Albicans'.
Ni wanawake wachache huwa wanapata 'Bacterial Vaginosis' lakini wanawake wengi lazima wapate 'Yeast Infection' japo mara moja katika maisha yao.
Mara nyingi 'Yeast Infection' hutokea kimaumbile au inaweza kusababishwa na aina ya vyakula au vinywaji unavyokula au vinywaji kama vimejaa 'yeast' (vyakula vyote vinavyotengenezwa na hamira,mikate, baadhi ya energy drinks, pombe etc)
DALILI;
- Uke wako ukawa unawashwa au usiwashwe
- Maumivu kama uke unaungua pale unapokuwa unajisaidia haja ndogo
- Uke kutoa maji maji mazito yenye rangi nyeupe kama jibini
- Uke wako ukawa unawashwa au usiwashwe
- Maumivu kama uke unaungua pale unapokuwa unajisaidia haja ndogo
- Uke kutoa maji maji mazito yenye rangi nyeupe kama jibini
3.SEXUALLY TRANSMITTED DISEASES (STDs)
Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono kama vile 'Chlamydia' na 'Gonorrhea' (kaswende na kisonono), kama ukiyapata huwa yanasababisha Uke kutoa harufu mbaya kwa sababu dalili zake zinahusiana na kutokwa na maji maji yenye harufu mbaya.

4.VAGINAL OR CERVICAL CANCER
Unapokuwa una kansa ya uke au kansa ya mlango wa kizazi (cervical cancer), kutokwa na maji maji yenye harufu mbaya ni sehemu ya dalili zake. Unapojiona kuwa una tatizo la uke kutoa harufu mbaya, ni heri na itakuwa busara ukienda hospitali, kama ni kansa ya mlango wa kizazi itakuwa sio ngumu kuitibu kama ukiwahi mapema.

5.POOR HYGIENE
Inawezekana pia tatizo la uke wako kunuka linasababishwa na uchafu. Ukiwa unaoga mara moja tu kwa siku au siku nyingine hauogi au kama hauna mazoea ya kufua nguo zako za ndani na unazirudia bila kuosha,na ikitokea siku umezifua basi hata hauzisugui zikawa safi wala kuzianika kwa jua.n.k

MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA UKITAKA UKE WAKO USITOE HARUFU MBAYA
1.OSHA UKE WAKO KWA MAJI SAFI KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA HAJA NDOGO
Asilimia kubwa ya wanawake hawana mazoea na utaratibu huu. Ni utaratibu muhimu katika maisha ya kila siku ya mwanamke. Unapokuwa unajisaidia haja ndogo lazima utakuwa umechuchumaa, haja ndogo yako inapokuwa inatoka, lazima kutakuwa na mabaki kidogo kidogo yatakurukia na kubakia kwenye mlango za nje au za ndani za uke wako.
Hayo mabaki baada ya muda yatachanganyika na jasho na kutengeneza harufu mbaya, kwa hiyo ili kujiepusha na yote haya, ni heri ukaosha uke wako kwa maji safi kila ukimaliza kujisaidia haja ndogo. Usitumie tishu paper vile ni mazoea kwa wanawake wengine.
2.UKIWA UNAOSHA SEHEMU ZAKO ZA SIRI,TUMIA MTINDO WA KUPELEKA MKONO KUTOKA MBELE KURUDI NYUMA
Kuna baadhi ya wanawake wameshazoea kusafisha sehemu zao za siri kwa kupeleka mkono kutoka nyuma kuja mbele. Huu mtindo sio mzuri kiafya kwa kuwa huko nyuma kuna tupu ya nyuma (anus), na kwenye tupu ya nyuma kumejaa uchafu na 'Bacteria' wengi tu. Sasa wakati unajisafisha, unapopeleka mkono nyuma unakuwa kama unazoa yale 'Bacteria' na uchafu kutoka kwenye tupu ya nyuma,halafu ukauleta mkono mbele unakuwa unawaacha hao 'Bacteria' na uchafu kwenye uke wako. Na huo ndio mwanzo wa uke wako kutoa harufu mbaya na kupata 'infections' za ajabu ajabu.
Ukitaka kuwa salama, haijalishi kuwa umemaliza kujisaidia haja kubwa au ndogo, au wakati unaoga, ukitaka kusafisha sehemu zako za siri, tumia mtindo wa kupeleka mkono mbele kurudi nyuma ili usije kuwaleta 'Bacteria' na uchafu wa tupu la nyuma ukayaleta mbele kwa uke wako.
3.VAA NGUO ZA NDANI ZENYE ASILI YA PAMBA (COTTON)
Pamba (cotton) ina uwezo wa kupitisha hewa hata kama ni kidogo sana. Na sehemu za siri za mwanamke zinahitaji hewa inayopita, nyingine iwe inaingia na nyingine iwe inatoka. Hii mabadiliko ya hewa hata kama ni ndogo itasaidia kufanya sehemu zako za siri kuwa fresh muda wote na utapunguza uwezekano wa uke wako kutoa harufu mbaya.
Na pia punguza kuvaa nguo za kubana sana muda wote,nguo za kubana zinasababisha majasho sehemu za siri na ukizingatia hamna mzunguko ya hewa kwenye sehemu zako za siri basi lazima hayo majasho yataanza kutoa harufu mbaya.
4.USIVAE NGUO YA NDANI MOJA SIKU NZIMA (Kama itawezekana)
Kwa jinsi maumbile ya Mwanamke yalivyo, unatakiwa kubadili nguo ya ndani mara mbili au tatu kwa siku.
5.PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI AU YEAST KWA WINGI
Unaweza ukapunguza uwezekano wa kupata 'Yeast Infection' au 'Bacterial Vaginosis' kwa kuacha au kupunguza kula vyakula vyote vyenye sukari yenye asili ya viwanda (Processed Sugar) au vyakula vyenye hamira 'Yeast' kwa wingi.
6.BADILI PADS ZAKO MARA KWA MARA UNAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKO
Ili kuzuia uke wako usitoe harufu mbaya kipindi ambacho upo kwenye siku zako, inashauriwa kubadili pad mara kwa mara. Kubadili pads mara kwa mara kunasaidia ujisikie upo msafi na inazuia 'Bacteria' kujikusanya, inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata 'Infection' na mwisho inaondoa uwezekano wa uke wako kutoa harufu mbaya.
7.NYOA NYWELE ZAKO ZA SEHEMU ZA SIRI MARA KWA MARA (ISIPITE SIKU 40)
Nywele zako za sehemu za siri zinapokuwa ndefu, unakuwa umetengeneza maficho ya kila aina ya uchafu kuanzia jasho, majimaji yatakayokuwa yanakutoka ukeni (wakati unapopata hamu ya kufanya tendo la ndoa), mabaki ya haja ndogo n.k
Ili kuepusha yote haya ni heri ukawa unazikata nywele zako za sehemu za siri mara kwa mara.
8.NENDA HOSPITALI MAPEMA NA HARAKA TENA SANA
Yaani hata usichelewe, kwani haya matatizo mfano 'Bacterial Vaginosis' na 'Yeast Infection' ni matatizo ambayo yanaweza kutibika kwa dawa. Ni heri uwahi mapema ili uongeze uwezekano wa kupona haraka bila matatizo.

HAPA CHINI NAKUTAJIA BAADHI YA LISHE ZA NYUMBANI AMBAVYO VINAWEZA KUZUIA NA BAADHI KUKUTIBU KUTOKAMANA NA TATIZO HILI
BAMIA (LADIES-FINGERS)
Chemsha 'Bamia' gramu 200 kwenye maji lita 4, wacha yachemke mpaka maji yabaki nusu. Gawa yale maji kwa sehemu 3 zinazotoshana, kunywa kidogo kidogo kwa ile siku mpaka umalize yale maji. Fanya hivyo kwa wiki mbili mfululizo ili kupata mafanikio. Rudia baada ya kila siku 60

MAZIWA YA MTINDI (YOGURT)
Kunywa maziwa ya mtindi mara kwa mara na ujiepushe na maziwa fresh (kwa wanawake maziwa fresh inakuza yeast)
Kunywa maziwa ya mtindi mara kwa mara na ujiepushe na maziwa fresh (kwa wanawake maziwa fresh inakuza yeast)
APPLE-CEDER VINEGAR
Jaribu kila mara ukioga uweke vijiko 2 vya mezani vya apple-cider vinegar kwa maji ya kuoga na uoshe nayo sehemu yako ya siri waeza fanya hivyo kwa siku 7 mfululizo kisha urudie baada ya siku 30
Jaribu kila mara ukioga uweke vijiko 2 vya mezani vya apple-cider vinegar kwa maji ya kuoga na uoshe nayo sehemu yako ya siri waeza fanya hivyo kwa siku 7 mfululizo kisha urudie baada ya siku 30
JE!! UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI?
Tuma Ujumbe kwenye Email yetu (tundalawarembo@gmail.com)
No comments:
Post a Comment