DEAR LADIES
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
DOWNLOAD APP YA SMS ZA MAPENZI. BONYEZA HAPA
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe
milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda
pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!
3. Uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio
itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa. Uzuri huvutia wanaume,
ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe.
4. Pesa kiukweli ina faida sana na ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo
ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha na
maisha.
6. Kuwa mzuri bila tabia njema hakuwezi kukakupa mume bora, sana sana utapata Boyfriends na wanaume za watu.
6. Tendo la ngono linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo. Sex ni zao la mapenzi, mapenzi sio zao la sex.
7. Sex inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi
akaondoka zake ila upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima.
8. Kuna mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama
ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake. Usidhani kupitia pesa zake ataweza
badilika.
9. Uvaaji wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe!
Ni ukweli fulani hivi ambao ni mchungu! ila sio mbaya waweza shushia na juice bariiiiii
DOWNLOAD APP YA SMS ZA MAPENZI. BONYEZA HAPA

No comments:
Post a Comment