Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Wednesday, February 14, 2018

Mambo Muhimu ya Kuzingatia siku ya valentine day


Wote tunajua kua valentine’s day ni siku ya wapendanao,lakini naomba tuelewane vizuri kwamba sio lazima awe mchumba wako kwani hata mama yako anaweza kua mpendwa wako.sasa leo nitakueleza mambo 9 muhimu ya kuzingatia siku ya valentine’s day
Mambo 9 ya kuzingatia
1.Mpelekee zawadi kila umpendaye kadri ya uwezo wako kwani hii inaonesha thamani yake kwako.kwahiyo nakusihi jitahidi sana kupeleka zawadi kwa mwenza wako.

2.jie pushe na ngono katika,siku kama hii ya leo machafu mengi sana hufanyika ngono ni hatari sana kwani inaweza kukusabaishia magonjwa siwezi kuyataja kwani nazani wote tunayajua.

3.Kama huna mwenza wako unaweza hata ukaonyesha upendo wako kwa rafiki zako,ndugu na wengine wengi kwani siwezi kuwataja baba na mama kwani hio ni lazima.

4.usinywe pombe kumbuka siku hii ni ya wapenda nao tu usiingize satrehe zisizo na maana kama kunywa pombe.inaweza kukuleteaa madhara makubwa sana.

5.usimuuzi mpendwa wako katika siku hii ya leo kwani anaweza kujua kwamba umemfanyia kusudi.

6.Tembelea maeneo mbalimbali katika siku hii ya leo ili kutuliza kichwa chako wewe pamoja na mwenza wako.

7.vaa nguo za kupendeza wewe pamoja na mpendwa wako.

8.pika chakula kizuri mle mufurahi

9.tembelea ndugu jamaa na marafiki
Nadhani haya yanatosha kwa leo kama wewe ni mmoja wa walio soma nakala hii basi comment asante name nitakujibu.

No comments:

Post a Comment