Naombeni ushauri maana nimechanganyikiwa nilifanikiwa kupata mpenzi huku
mtandaoni ninampenda sana ila juzi nilikuwa nachati na mkaka mwingine
whatsup,yupo zimbambwe sio mtanzania tulikutana siku moja airport.
Huyu mpenzi wangu akachukua simu yangu akaniuliza huyu kaka unachati nae ni nani? mbona mzuri hivi? sio mwanaume wa jamii forums huyu ? ngoja nitampata tu kama hutaki kuniunganisha nae nataka awe rafiki yangu.
Nikamuuliza unawezaje kumsifia mwanaume mwenzako hivo? tukagombana saana cha ajabu toka siku hiyo namuona mpenzi wangu yupo busy kumtafuta huyo jamaa hata huku jamii forums anafungua topic za kumtafuta huyo kijana usiku kucha eti anadai alisoma nae? muulizeni alisoma nae wapi na mwaka gani? muone kama ana majibu anapiga simu kumuulizia sijui kwa nini?
Sio mara ya kwanza kusifia wanaume hata ukichukua laptop yake ukienda kwenye search history mara nyingi unakuta ametembelea porn site za magay mimi nampenda sana huyu bwana nimfanyeje.so far hatujasex kwa sababu hatuna muda pia aliniambia tusubirie kuoana hapendi ngono zembe.
mpenzi tulizana hutopata mwanamke kama mimi

No comments:
Post a Comment