Huyu ni dada binamu tumekua kua naye miaka ya nyumanmpaka sasa imetokea
tena tumeajiriwa ofisi moja. Actually alikuja kwa uwezo wake wala mimi
sihusiki, namfahamu she is bright an pretty sasa kama walimalizana na
Bosi hayanihusu. Huyu dada huwa ana mambo fulani hivi ya kimitego sana.
Kwanza nimeshamgundua papuchi yake haifanyiii packaging (havai chupi) nimeshamwona mara kadhaa sababu alifanikiwa kuwa na mashallaah basi astaghafifulah akitembea hivi ni tetemeko la ardhi.
Binafsi nimekuwa nikikwepa kumtizama yanini kuutesa moyo? Yanini malumbano ya nafsi na mwili? Sitaki shida mimi lakini yeye hataki kuacha uchokozi, leo asubuhi asubuhi kaja ananambia "nambie nakuona umenitizama umetoa mijicho utadhani umeshtuka huna mapu.mbu"
Kweli hii kauli ilinishtua sikutegemea asilani anitamkie maneno yenye ukakasi namna hiyo, nikamwambia "sister vipi leo umebakiwa na hang over?" alinijibu huku akinitizama kwa kugeuza kichwa na kuniachia makalio yake." sister ako nani? Mimi na wewe wala hatuna undugu maana unanikera kama nini kuniita mimi sister, sister ako ni uliye zaliwa naye tu tumbo moja, hawa wengine wa undugu wa kuvuta na kamba unawapeleka pwani tu..." akainama kama anaokota kitu makusudi kabisa akitawanyisha makalio yake kisha akaondoka.
Kiukweli ameliamsha dude, sijui ametumwa na shetani, simwelewi kabisa maana siku yangu ya leo imeanza kwa taabu na mateso hivi najiwazia mchana utafika salama kweli? Why lakini mtoto wa mdogo wake mke wa mjomba anifanyie hivi? Mjomba wangu ameoa, Mke wa mjomba ana mdogo wake ambaye ndo mwenye mtoto huyu ni binti lmzuri sana sema tu lichokozi na sijui kwanini lina behave namna hiyo na hilo la kuja ofisini bila kuweka papuchi kwenye vifungashio naona limetanabari sana siku hizi, kwanini wakina dada mnatufanyia hivi hata sisi kaka zenu?
Je ikitokea nikapitiwa nikasema nilile hili li binamu langu kiutamaduni si kosa kubwa sana? Au basi tu sometime tunaweka heshima za kutufungia riziki kitako kama hizi? Maana ashakum si matusi " huyu dada amejaariwa muktibu wa jaarabu mpaka najikuta wakati mwingine nahemea tu juu juu kama mkungu wa ndizi ila je si kharamu kula mtoto wa shangazi mdogo? Maana amefikia hatua naona dhahiri shahili akinitega, nimekuwa nikijipa moyo lakini sasa nimeona niutafune huu mtego kabisa ili usiwe kizingiti.

No comments:
Post a Comment