Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.
Demu wako au mchepuko wako una tabia moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu? Usisite kuacha comments hapo chini.
1) Ana boreka haraka
Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa
kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum- entatain
rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na
wanaishia kuwa friends with benefits.
2) Marafiki wengi wa kiume
Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku- cheat kwasababu
anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia
anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi
wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na
mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.
3) Anapenda attention
Wanawake wanaopenda attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa
ambao hawataki kuwa committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana
attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana attention hawezi
ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.
4) Anapenda vitu “material things”
Wanawake wengi wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu
kutoka kwa waume zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume
mwingine ambaye ana uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese
wenzake kwenye instagram.
5) Ana marafiki ambao ni michepuko
Umeshasikia usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu
wako hana tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao
wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako
ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao
haraka sana.
6) Anapenda kufanya ngono kuliko wewe
kila mkimaliza kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena,
na wewe humtimizii basi lazima tatafuta serengeti boy ambaye
anamsikiliza na kumpa anachotaka.
7) Anaujuzi kitandani kuliko wewe
Wewe kama umeshawahi kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu
ambaye anajua kucheza kuliko wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae
chini kabla hujaaibishwa, au kama wewe ndio unayejua kucheza vizuri
utatafuta mtu mwingine anayejua kucheza kama wewe. Kwenye tendo la ndoa
ni hivyo hivyo kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe, inabidi ufanye
mazoezi ufikie kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu atasubiri wimbo
ukiisha akakae chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza kama yeye.
UMEICHEKI HII ?
No comments:
Post a Comment