Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika maisha yake ya
ndoa huku akidai yeye alikuwa navituko hata mkuzidi mtoto wake huyo
lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake.
Mzee huyo amesema hayo wakati wa sherehe ya ndoa ya mtoto wake huyo
iliyofanyikia Mlimani City Dar es salaam ambapo pia amemtaka Joti
kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake.
No comments:
Post a Comment