Wewe
kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako,
yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni
changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa
wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu
wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya
tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa
pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu,
jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.
Pia Unaweza Kupitia Hii: EXCLUSIVE; Ukimya Wa Diva Clouds Fm Wazua Maswali Mitaani Je Ni kweli Amehamia Efm ?
Kwa
wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri
kufunga miguu yenu msije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu
mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe.
No comments:
Post a Comment