WEMA
Mwanadada
Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa
anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha
zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.
Kupitia
kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za
mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na
Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani
anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu “Kuolewa sio shida je huyo
mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende”
“Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao”.
Alipoulizwa
kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema’Kweli niko na Nasib -
Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto
tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka
mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa
serious’.
Habari kwa Hisani ya Millard Ayo
Wema Sepetu pia kaandamana na Ant Ezekiel kwenye interview ya kipindi hicho kinachorushwa na Clouds Fm.
No comments:
Post a Comment