Nimeona tu hili niliseme mana week ya 2 hii akili haijakaa sawa, nina
mchumba ambaye huyu dada nlimpenda toka tukiwa natukua hapa hapa
mtaanibasi ikafikia hatu sasa tumekua nataka kuoa. Nikamtafuta
nikamwelekeza akanikubalia now ni mchumba wangu.
Ikatokea nimetembelewa na jamaa yangu wa mtaani katika maongezi
nikamwambia nataka kuoa akasema ni jambo zuri akapenda amwone shemeji.
Nikamwonesha picha akachea sana yaani akacheka mpaka machozi yakamtoka
akanambia unataka kumwoa huyu kicheche? Nikashtuka kidogo, anasema
anamfahamu vizuri huyo msichana, yeye alishapiga kipindi msichana yupo
form 2 amechezea sana mpaka alipofika form 3 ndo akaachana naye
alipogundua anatoka na jamaa yetu wa mtaani mwingine ambaye walikuwa
wanapenda kumuita Etoo sababu yeye alikuwa anajiita ni striker kwa
wasichana, akanambia anamfahamu ndani nje ana alama kidogo chini ya
kalio la kushoto aliumia siku moja wakiwa wote kwenye jumba bovu, yule
dada kweli anayo hii alama.
Nikamtafuta striker kwa maongezi ya kawaida nikamuuliza anamfaham x
akasema anamfahamu yule msichana ana mwili flani hivi, macho na nikasema
ndo yeyeakanambia alimdate kama mwaka hivi na nusu akampiga chini hajui
kwa sasa yupo wapi.
Sasa juzi juzi hapa yule mchumba wangu aliweka picha yangu kwenye prof
yake whatsapp kumbe kuna jamaa yangu ananifaham aliiona. Akanipigia kuwa
kuna mtoto mmoja anaweka picha yangu kwneye prof yake ni nani yangu.
Nikasema ni mchumba akanambia niache masikhara, nikamwambia ni kweli
akasema "anyway kama umeamua ni sawa anadai yeye mara ya mwisho alikuwa
na yule binti ni mwaka jana May walikuwa wote Zanzibar kwenye training
wakawa wanatoka toka siku mbili tatu basi akamkamatia room kwake akala
baadaye yule msichana akahamia roo ya hotel aliyofikia jamaa kwa week 2
jamaa analala naye kama mkewe naye akanambia anamfahamu na anajua sana
kukatika ni kweli yule dada anajua sana tena akaenda mbali kuwa akiwa na
hamu huwa yote ni kweli kabisa.
Nikaanza kumchunguza yule dada nikakuta namba mbili za wale wahusika
anazo kwenye simu yake nikamuuliza ni akina nani akajibu ni marafiki
alikataa kabisa kuwa hawajahi kuwa nao kimapenzi. Nilipoendelea kumbana
akakubali mmoja mwingine akasema hajawah nikaendelea kumbana sana akaja
akasema ni kweli ila hakukaa naye sana nikamwambia habari za Zanzibar
akakiri ni kweli alifanya naye mara mbili tu, nikamwambia aniambie
ukweli akaja akakiri walilala wote week moja na nusu ila walikuwa
wanatumia kinga, jamaa anasema ni siku moja tu walitumia kinga siku
nyingine zote hawakutumia.
Nimembana ameamua kunieleza kuwa ni kweli wote watatu aliwa date ila
anasema ni issues za zamani hata mimi nli date watu so wala si big dea
ila kiukweli naona kuna kitu kimebadilika hawa jamaa zangu watakujaje
home? Watakujaje kwenye harusi? Nitawatizamaje? Hata hamu ya ku do naye
imekatika kabisa maana napokuwa naye naona hao jamaa hasa huyo etoo.
namfahamu ni mwaribifu sana hafai.
Huwa anawatumia hata maeneo yasiyo rasmina nikimwangalia huyu mchumba
naye nyuma ana mzigo mi sijawahi kumnanii kwa nyuma imani yangu
hairuhusu na hata mimi sijiruhusu ila kuna siku kama nilikosea kidogo
ielekee huko hakushtuka sana.ilikuwa kiasi kawaida tu.akanambia "wewee
unapeleka wapi huko "akaniuliza kama napenda nikamwambia hapana sijawahi
akanambia "kama ungenambia unapenda ningeichapa hii dudu yako."
Sasa sijui kama etoo hakuwa amemwaribu huko pia sina amani huyu dada,
jamaa watatu ninaowafahamu wamepita. Je nisio wafahamu? Hata kama
ameacha ila historia haifutiki nimeingiwa na doa kubwa sana, najiuliza
nifanye nini? Huyu kwao mama yake ananifahamu rasmi bado ile kutangaza
hasa hasa kwa familia nzima.
By Chizi Maarifa
Friday, June 8, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Hapa Ndipo Mapenzi Yanapokuwa Magumu...Nimegundua Mpenzi Wangu Ametembea na Marafiki zangu Watatu Kabla yangu
Hapa Ndipo Mapenzi Yanapokuwa Magumu...Nimegundua Mpenzi Wangu Ametembea na Marafiki zangu Watatu Kabla yangu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment