Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba anatumia lakini mtu huyohuyo
ikipita miezi 3 unashangaa ana mimba unabaki kujiuliza alikuwa
anamvalisha kwenye kidole gumba ama?
Yaani unaweza ukakanunua vizuri tu. Unaenda nako mpaka gesti vizuri tu.
Unakatoa mfukoni unakaweka chini ya mto pale kitandani kujiandaa na
mechi vizuri tu lakini mwisho wa siku unajikuta umechakaza rim.
Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda
chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko njia panda ya
ifakara. Mbalii balaa!
Halafu inavyoonekana wanawake wengi hawapendi condom ila huwa wanauliza
kuzuga tu ili na yeye aonekane aliuliza swali "baby una condom?"
Ukimwambia sina utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya
anakupa solution,"basi nakuomba usinyunyizie ddt,umwagilie maua nje ya
bustani plz niko danger".
Uwe Danger umekuwa transfoma ya umeme! Ukimaliza utamsikia,"halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile"mshachakaza rim.
Shikamooni wazee wa kwenda na pakti 3 na unarudi nazo zote 3 zikiwa
pakti mpya. Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu mna mimba miezi 2
leo. Shikamooni na wale ambao mna sababu za kisayansi kwelikweli
"baby mi nikitumia condom napata allergy na fungus.
Uonavyo wewe, Je wasichana waki Tanzania, wanamsimamo linapokuja suala
la kufanya maamuzi ya kutumia kinga? Vipi kwa wanaume nao, msimamo
wanao!? Nini maoni yako!?
Monday, June 18, 2018
Matumizi ya CONDOM na Hali Halisi ilivyo Sasa...Wengi Wanazuga tuuuu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment