Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza
na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa
linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi
kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua
mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo
na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio
nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari
basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku
yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa
simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na
kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu
kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Sunday, June 17, 2018
MUME Wangu Hanitoshelezi, Kimwili na Kimahitaji........!!
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment