Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja
wanapotongozwa.utasikia "MIMI NAWAOGOPA WANAUME",ukiuliza wewe ni bikra
kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio
bikra atakujibu" NISHATENDWA SANA".ndugu yangu nakushauri,kama
ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa
sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue huyo ana
mapungufu ambayo hata wewe hutaweza kuvumilia ,mapungufu ambayo hata
wewe utamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume
waliomtenda.ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivo au wanaotendwa hivo
unakuta ni hawajatulia kabisa(vicheche).
Tuesday, June 12, 2018
Mwanamke Akikujibu Hivi Achana nae Haraka Sana Ujue Hakuna Kitu Hapo....
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment