Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Sunday, June 17, 2018

Mwanamke Aliyekeketwa Je Huwa Anaridhika Kimapenzi?

Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na swala la kuridhishwa kimapenzi.

Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je wanaridhika? au bora liende na je wanakabilianaje na hili swala maana nasikia bado baadhi ya mikoa na makabila wanakeketwa kama wakurya, wanyaturu, warangi, wagogo, wanyakyusa nk.

Ingetakiwa watu maarufu wenye ushawishi pia wapigie vita huu ukeketaji kama kina wema maana nae ni si ni mnyaturu?

No comments:

Post a Comment