Kwa muonekano wa nje ni msichana mzuri sana mwenye kila sifa ya urembo,
msafi anajua kuongea mpaka unamtamani awe zaidi ya rafiki mpenzi na
kadhalika blah blah. nimeamua niseme manake nimekaa nalo nimeona
niwaambie tu wadada labda itakuwa ushauri kwenu na manufaa kwenu
mtajirekebisha. pia anaonekana she is hard to get, unamchombezea
unafanikiwa kila kitu na siku ambayo ni zaidi ya mara moja kuja getho na
kidume unajisemea ndio wakati muafaka wa kumchinja mnyama.
mnaanza kidogo kidogo taraatibu, romance, kisha kuchojoana kidogo
kidogo, mnamalizana chojoa zote inabaki ile tu inayofunika ikulu . ile
ya ikulu kuanza tu kuichojoa ndio hapo ninapoanza kusikia harufu ya
"panya kafwa" . kama vile siamini kutokana na uzuri wa mtoto, kisha mtu
mzima ili kuhakikisha ni kweli harufu inatokea wapi najisogeza kichwa na
pua karibu na kitovu kisha nashuka taratibu karibu na "ikulu", agkhaaa
mama pua zangu "ni kweli panya kafwaa" na kafia kwenye "shimo la ikulu".
pamoja na harufu yote kali siwezi muacha mtoto ngoja nimuonje kiduchu
ili tu anione kidume moyoni najisemea. chomeka na kuanza piga mzigo na
hapo stimu zimehama nataka tu mtoto nione amejilegeza kama mara 2 au 3 ,
kisha ndio nichomoke zangu kutoka shimo la panya. mtoto akajilegeza
mara 2 na kisha ya 3, nami nikamaliza mambo yangu. hapo kichwa kinaniuma
manake najua nikichomoa tu na hiyoo harufu iliyopikwa humo
itakavyotoka, nitahitaji air fresh za kutosha baadaye!!
nachomoka zangu na huku pua nimezibana sababu harufu ya "panya kafwa"
imezidi, nakimbilia bafuni nikajitoe maharufu ya mzoga wa panya!! cha
kushangaza yule mtoto sijui haisikii harufu au ameizoea anahisi ni
kawaida sielewi!! natoka bafuni na kumwambia na yeye aende akjiswafi,
wakati yupo bafuni ninakakumbuka kale kademu kangu amabacho ni cha
kawaida sana, washikaji wanachoniambia sina hadhi nacho, nje ana uzuri
wa kawaida sana, japo ndani ni mzuri kupita kiasi ni mtamu wa ajabu na
msafi mpaka baasi, nahisi utamu wake unasababishwa na usafi wake....!!!
na ukweli ni kwamba ninaishuhudia hiii zaidi kwa wale mademu ambao nje
ni wasaafi na wazuri ajabu hata huwadhanii kama ndani wanaweza kuwa
wameficha "panya aliyekufa"!!!
ushauri wabure kwa wadada mkiwa wasafi nje, wekeni na mazingira ya ndani
yawe safi zaidi, mimi siamini mtu kama unanuka eti hujijui..!!
utashangaa unaachwa bila sababu pamoja na uzuri wako!!
By Mdau
Sunday, June 17, 2018
Mwanamke Mzuri wa Sura, Umbo Zuri and Classic lakini Chini Anatoa Harufu..
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment