Hi guys i hope mko poa,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.
Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.
Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje,
bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko
weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.
Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine
tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on
tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo
kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia
bedroom.
Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.
On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi,
nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko
pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata
period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.
Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi
ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina
wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?
Nifanyaje?
Monday, June 11, 2018
Nina Mimba ya Rafiki wa Mume Wangu, Nifanyeje?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment