Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical.
Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa
watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita malaya.
Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja.
Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais ninajiamini nina exposure ya kutosha ndani ya nchi na nje.
Ni sisi wanaume 98% tukisafiri upenda kupata ukarimu wa ngono kwa
wasichana wa eneo husika, na ukute unakaa siku mbili tu, ukikalimiwa
imeshakuwa shida, malaya umesahau wewe mwenyewe malaya.
Ukimuuliza mtu ni mwanamke gani umewahi kutembea naye hujampa pesa
huwezi kupata jibu ukweli ni kwamba wanawake wote wanapokea pesa after
kumaliza kwa kisingizio cha nauli.
Lakini hapa wapo wadada ambao wao wameweka wazi ukitaka kuwamega mkatie
pesa kiasi fulani basi mchezo umekwisha hawa ati wanaitwa wauza mbunye
kosa lao liko wapi? Ni mwanamke gani anayetowa bure? Aje hapa hadharani
akanushe hili.
Haya ngoja niwape mifano hai kuna dogo huyu Diamond eti naye kapachikwa
jina la malaya!! Jamani tumuogope Mungu huyo Diamond ni maarufu tu hana
umalaya wowote, wanawake wote aliodate nao wanahesabika wakati sisi
tunaomnyooshe kidole binafsi kwangu hata ukiwajaza kwenye fuso halitoshi
labda ulete treni ya Mwakyembe na ukinipa kitabu niwaandike siwezi
kuwakumbuka ila huyu mtu maarufu wanawake aliotembea nao kwa 99%
wanajurikana hii same applied kwa Wema Sepetu.
Issue iko hivi kuna wanawake hawatoi nyuchi zao kwa mfumo wa kupatana
bei lakini wastani wake wa kuliwa na wanaume kwa mwezi anamzidi huyu
tunayeamini na kumuita muuza mbunye hii siyo sawa hata kidogo.
Ninajuwa vyema wako wanawake wachache mno very independent lakini
ukiwachunguza kwa undani walishaumizwa na wanaume ndio sababu kwakuwa
wana cash mwanaume ukikaa na mwanamke kama huyo anakuonesha power of
independence woman, anaclear bill na anaweza kukupa cash.
Mimi nawapa moyo sana madada wote wanaotowa ngono kwa mapatano ya cash
kwanza siyo wanafki ni wawazi hawana usumbufu na 90% ni wadada ambao
wapo kwenye viwango vya kuitwa warembo.
Nihitimishe tu hoja yangu kwa kumtaka mwanaume yeyote anayejiona yeye si
malaya ajitokeze hapa na mwanamke yeyote anayesema yeye hauzi anatowa
bure pia ajitokeze hapa.
Tanzania bila unafiki inawezekana.
By Mchambuzi Matola
Thursday, August 23, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Hakuna Malaya Hapa Duniani ni Unafiki tu Unatusumbuwa, Na Hakuna Demu wa Bure Duniani hili Lieleweke Vizuri
Hakuna Malaya Hapa Duniani ni Unafiki tu Unatusumbuwa, Na Hakuna Demu wa Bure Duniani hili Lieleweke Vizuri
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment