Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga
puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake
tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia
au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu
unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi
unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja
ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi
hayupo karibu.
Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni,
kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui
utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya
kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini
(mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa
kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja,
hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.
Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.
Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za
nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi
kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa
unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili
kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.
3)Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
4)Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
5)Maumivu ya kiuno
Thursday, August 23, 2018
Kujichua Ama Kupiga Punyeto Kwa Wanawake/Wanaume, Faida na Hasara zake
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment