k najua haiwezekani kukusanya wanawake wote pamoja kwa kuwa kila
mwanamke ana tabia tofauti kabisa na mwengine. Na pia si wanaume wote
wanaudhiwa na kitu kimoja. Lakini kwa kawaida wanaume wakati mwingine
huweza kuwa na tabia za ujumla, yaani kuna mambo ambayo wanaume wa
kawaida huwa nayo kwa pamoja. Hivyo tumeamua kuja na baadhi ya mambo kwa
ujumla ambayo huwaudhi wanaume kutoka kwa wanawake.
Hivyo kama mwanamke unapenda baadhi ya tabia hizi basi fahamu ya kuwa unamchukiza mpenzi wako.
Kuwa na hisia nyingi
Wanaume wanaweza kupandwa na mori iwapo wapenzi wao wanakuwa na hisia za
kupindukia, sana sana kama wanaanza kulia halafu wanatarajia wanaume
kutatua matatizo yao. Wanaume hujua ya kuwa wanawake huwa na hisia
nyingi kuanzia kufunja kucha zao ama kusongwa nywele vinaya, wanaume
wengi hukiri ya kuwa ni vigumu kwao kuweza kutatua baadhi ya matatizo
yao.
Kuwa mzuri kuliko mwengine
Wanawake wanapenda sana kuwasifia wapenzi wao kuwa ni wazuri na eti ni
tofauti kuliko wapenzi wake wa zamani. Mara ya kwanza kwanza mwanamume
atapenda kusikia maneno kama hayo na kuona kama ulipitia pabaya wakati
wa mahusiano yako na wengine lakini baada ya muda ataanza kufikiria kuwa
wewe utamwingiza katika moja wapo la kundi ambalo atakuwa ukimuita
'mwanamume fala'. Njia nzuri ya kutatua jambo hili ni kusema ya kuwa
hjawahi kuwa katika mahusiano yeyote na mwanamume hivyo mtakuwa na
wakati mzuri pamoja. [Soma: Sheria za kutumia wakati unapomtext umpendae]
Kuongea bila kikomo
Wanawake wanapenda sana kuongea kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi na
marafiki zao wanawake. Lakini hio ni tofauti kwani wanaume hawapendi
sana kuzungumza mengi so kama una maneno mengi yasiyokuwa na mwisho basi
itakubidi uachane na hio tabia.
Shopping isioisha
Ukweli usemwe ni kuwa wanawake hupenda sana kufanya shopping kiasi cha
kuwa inafikia wakati fulani kunaboa. Sasa kama wewe ni mwanamke
unayependa kufanya shopping usijaribu kuenda shopping na mpenzi wako.
Tabia ya kuingia kwa duka kwa masaa mawili kununua dress na mpenzi wako
kutakutia taabani. Hii ni kwa sababu ya kuwa muda mwingi mwanamume
hatakuwa na kitu cha kufanya ila kukuangalia tu wewe. Pia tabia ya
kufalia nguo halafu kumuuliza kama nguo iliyofaa inakupendeza au la ni
kuchosha kwake.
Kama unamambo mengine ambayo huchukiza wanaume kutoka kwa wanawake unaweza kuweka comment yako hapo chini
Monday, August 20, 2018
Mambo Wanawake Hufanya Ambayo Huchukiza Wanaume
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment