Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio
yanayoweweseka
akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi
ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...
THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo
maana utashangaa Mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama
wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga
chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa
nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke
MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio
Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana
taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire
Land.
Utashangaa
na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti
hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama
unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea
kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea
kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKI.
No comments:
Post a Comment