Ndugu zangu aisee nimekamatika najuta kukatongoza katoto ka kinyamwezi.
Yapata mwaka mmoja tangu niwe kwenye mahusiano na huyu mtoto wa
kinyamwezi. Nimekutana nae college namaliza mwaka wa tatu clinical
officer na yeye anaanza kusoma Medical Doctor.
Mimi najikuta nataka nimpotezee lakini kila nikitongoza naambiwa ninae
mtu, wewe ni muongo na neno linaloniumiza zaidi la "wewe unaye mtu." na
cha ajabu hawajui chochote kuhusu mimi wala kama nina mtu
Na mtoto kaniganda mara anasema nikimaliza tu chuo unanioa. Aisee sijui
nifanyeje kila nikitongoza nakataliwa na haikuwa kawaida yangu, kwa wiki
nilikuwa nakula wanawake Wanne... Mpaka leo nimetimiza idadi ya wadada
kumi wakichaga wananikataa. toka niwe naye
Naomba ushauri please
Sunday, August 19, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Nahisi Mpenzi wa Kinyamwezi Kanifunga, Kila Nikitongoza Mwanamke Mwingine Nakataliwa
Nahisi Mpenzi wa Kinyamwezi Kanifunga, Kila Nikitongoza Mwanamke Mwingine Nakataliwa
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment