Habari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi
wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili
raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata huwa sijisikii tena
na matokeo yake huwa nasikia maumivu makal sehemu kiasi kwamba huwa
sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!na mpenz wangu huwa anajitaidi
sana kuniandaa lakini naona haisaidii!Je wanajamii hili ni tatizo la
kwenda hospitali?naomben ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa
nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.
Friday, August 31, 2018
Napata maumivu makali wakati wa ku do
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment