Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki awe wa kike au
wa kiume wa kubadilishana naye mawazo kuhusu mahusiano, Kifupi nimewahi
kuwa na boyfriend mmoja tu lakini kwa sasa hatuelewani so i need
company ya mtu yeyote aliye tayari kunifundisha mambo haya ya mahusiano
hasa jinsi ya kucope na situation baada ya uhusiano kuvunjika kwasababu
nampenda sana huyo boyfriend wangu na inaniwia vigumu sana kumsahau na
hata kucope na situation iliyopo kwa sasa, nimepata hadi vidonda vya
tumbo, so yeyote atakayekuwa tayari kunishauri kwa chochote au hata
kunipa ideas kuhusu hali halisi ya mahusioano a
Friday, August 31, 2018
Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo kuhusu mahusiano
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment