Kutoridhishwa huku inaweza kutokea katika Nyanja zifuatazo:
- Kiuchumi, yaani mwanaume amechacha hawezi kumhudumia mahitaji anayotaka.
- Kingono, yaani mwanamke anashindwa kufikishwa kileleni na kumfanya afurahie mapenzi kama wengine.
- Kitabia, hii hutokea pale mtu unapokuwa na mpenzi mwenye tabia tofauti ambazo hazikupi furaha hivyo anaamua kuachia ngazi na kuchepuka.
Hivyo inashauriwa kuwa makini sana na mpenzi uliyenae na kumchunguza kama ni sahihi au la, ili asije akakutenda.

No comments:
Post a Comment