Nimepatwa na mshtuko baada ya kusimama barabarani mbele ya gari moja,
Mshtuko umekuja baada ya kushangaa hili gari linaunguruma wakati ndani
hakuna mtu na kama linatikisika kwa mbali. Ndo kukodoa macho kupitia
kioo cha mbele nashangaa kuona jamaa yuko busy anapanda juu na kushuka
chini. Mhh nimeshtuka sana aisee maana ni mchana muda wa saa tisa gari
limepakiwa tuu chini ya mti.
Nikajiuliza why this? Je wamekosa guest?
Nikapata jibu kuwa wanaofanya huu uchafu ndani ya gari mara nyingi ni wake za watu
Watoto wadogo wa shule Au jinsia moja
Kwa nini nasema hivi kwa sababu haiingii akilini mchana wote huu watu
wawe wamejibana kwenye gari wanachoogopa ni nini??? Wamekosa gust bubu
hata??
Nyie baadhi ya wanaume wenye mtindo huu muache hayo magari mnapanda na
familia zenu, mnaenda nayo makanisani n.k mnayafanya najisi kwa kufanya
ngono humo. Ni bora basi mkafanya na wake zenu kwa bahati mbaya.
Kwa upande wangu sijafurahishwa jamani kila mtu ana maono yake au
mitizamo yake. Nilichowaza anaweza akawa hata ni mtoto wa jirani yangu
au ndugu yangu labda hata anageuzwa humo na libaradhuli aka fataki
By Cajojo/JF
Wednesday, August 22, 2018
Sababu zipi Hasa zinazopelekea Kufanya Mapenzi Kwenye Gari?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment