Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Tuesday, August 21, 2018

Ushuhuda: Tuache Kutafuta Mahusiano Mitandaoni..Wengi Wameathirika

Leo ni usiku mida ya saa 6 nilimkumbuka msichana mmoja ambaye nilikutana naye kwa bahati mbaya...Ilikuwa ni bahati mbaya kukutana naye na jana ikawa bahati mbaya kukuta ukurasa wake wa Facebook ukiwa umepambwa na R.I.P nyingi...tena amefariki miaka 2 iliyopita.
nilihudhunika sana kugundua kuwa huyu msichana hivi sasa ni marehemu.

JINSI TULIVYO KUTANA​
siku moja nilikuwa nasoma ujumbe mbali mbali kwenye magroup ya mahusiano huko whatsapp.

Kuna msichana mmoja kiukweli alinivutia sana, alikuwa anazungumza mambo bila kificho. Alikuwa mrembo haswa. Katika kuchangia mada ndani ya lile group mimi na yeye tulitokea kuelewana sana, urafiki wetu wa ghafra uliza kukutana, baada ya siku tatu mtoto huyoo chumbani kwangu nilimvua nguo tukapeana mambo kisawasawa (Mungu amsamehe na anisamehe sana).

Alikuwa anajua mapenzi sana lakini nilivyo mgeuza mgongo staili ile ya Mbuzi kagoma kwenda (dog) mgongo wake ulikuwa na vipele viwili vitatu nikakumbuka kauli ya mwalimu wangu wa biology kuhusu dalili za muathirika wa ukimwi kuwa ukitumbua kipele cha kawaida huwa kinatakiwa kitoe maji maji lakini kipele kikitoa damu hapo shituka, niliendelea kungonoka na huyu manzi lakini nilimtumbua kipere kimoja pale mgongoni kwake kikatoa damu (nyeg.e bwana wala siku shituka ndio kwanza nikaendelea kumsokomeza ududu mtoto wa watu na yeye hakuwa nyuma kwa kilio cha mahaba na mauno)

Tuliendelea kuwa na urafiki wa kawaida kisha mimi na yeye tukapotezana

Tulipotezana hadi jana nilipo ona ujumbe mbali mbali za majonzi kwenye ukrasa wa yule msichana juu ya kifo chake kilichotokea miaka miwili iliyopita.

Nilihudhunika sana, nikaamua kutafuta ndugu wa marehemu mmoja ambaye nilikuwa na mawasiriano naye, ndipo akaniambia kuwa ndugu yake (huyo msichana marehemu) alikuwa Muathirika wa ukimwi, na aliurithi ugonjwa huo kutoka kwa wazazi wake ambao wote wamesha tangulia Mbele haki, akaendelea kuwa kabla ya kifo chake aliumwa sana hadi umauti ukamfika.


Ujumbe huo ulinihudhunisha sana lakini haUku niogopesha Kwani huwa napenda sana kupima afya yangu mara kwa mara.

KILICHO NIFANYA NIANDIKE USHUHUDA HUU.

Nimeona watu mbali mbali wanatafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii haswa hapa Facebook na Instagram...naomba niwakumbushe ndugu zangu ukimpata mchumba hakikisha unapima nae magonjwa ya zinaa.

Ukishindwa tumia kondomu.

No comments:

Post a Comment