Nashindwa kuelewa ana maana gani..Huyo mpenzi wangu amekuwa na rafiki
yake wanapendana sana kila mahali wako wote na siku zingine huwa
nikitoka na mpenzi wangu out analazimisha na rafiki yake awepo...Sasa
siku za hivi karibuni amekuwa akiniambia kuwa its ok kuwa naye na huyo
rafiki yake...week iliyopita alikuja nyumbani kututembelea usiku
ulipofika akaamua kulala japo tuna chumba kimoja tu, mie kwa aibu
nikalala sebuleni japo mpenzi wangu alikuwa ananishawishi tulale naye
kitanda kimoja..na its ok tukifanya theresome ila mimi
nilikataa...Naomba ushauri wana udakuz hii ni Halali ? Je niendelee kuwa
na wote ama nisimamie msimamo wangu wa kuwa na mmoja?
Monday, September 3, 2018
Mpenzi wangu Anataka Niwe na Girlfriend wawili yeye na Mwenzake
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment