Jamani
ni hivi wataalamu wanasema kuwa eti inachukua dakika tatu tu,
kumridhisha mtu kimpenzi! Tangu juzi wanatangaza hizi habari kwenye
taarifa ya habari hapa Marekani. Chini ya dakika tatu hakuna raha kwa
mwanamke.
Hizi
dakika tatu hadi 13 hazihusishi foreplay, yaani mambo mnaofanya kabla
ya tendo eneyewe. Na huyo mwanaume anayefanya dakika 13 bila kupumzika
ana kazi.
Wanasema ni vigumu kwa wanaume wenye umri mkubwa na wanaume wenye umri mdogo kufanya tendo kwa muda mrefu kabla ya kumaliza
Credit: Esto music Tz
No comments:
Post a Comment