Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Wednesday, October 24, 2018

HUYU STORY : BINTI JIRANI YANGU MAJANGA MATUPU ANANITEGA MPAKA NAKARIBIA KUSHINDWA UVUMILIVU..NAPATA SHIDA SANA.


Huyu binti ambaye anaishi opposite my flat, anaishi na dada yake mkubwa, amemaliza elimu yake ya secondary. Mimi na dada yake tupo jirani sanakama majirani as if family moja. Dada yake siku za kazi huwa anaondoka asubuhi anarudi usiku. Pindi nikiwa nimerudi nyumbani baada ya kutoka kazini mida ya alasiri mdogo wake uja kwangu sababu ubaki peke yake anakuwa bored. Binafsi kiukweli huwa naienjoy company yake ikapelekea tuwe na ukaribu ambao binafsi nilimchukulia kama mdogo wangu.

Kivumbi kilikuwa jumatano iliyopita, aliingia kwangu akiwa amevaa tight ya ajabu Looh!! Huku akiwa amebeba nguo nyingine, makalio yalivyo kuwa yametokezea Mmmm. Sitopenda kumtaja ni kabila gani ila lieleweke ni binti wa kanda ya ziwa aliye zaliwa hapa Dar.

Kutokana na maelezo yeke ameniambia amenunua hiyo nguo anataka mawazo ya mtu mwingine. Mbele ya macho yangu jamani alivua nguo akabakiwa nab brouse sehemu ya tumbo yote ipo wazi na kilichonifanye nusu nizimie ni kwa mara ya kwanza kumuona msichana ana nywele zimepanda mpaka sehemu ya kitovu (Garden Love) tumbo la uduara hivi kisha akavaa nguo aliyo kuwa amekuja nayo. Nilicho mwambia nguo imempendeza.

Cha kushangaza baada ya kumwambia nguo imempendeza akaenda chumbani kwangu kubadilisha, punde nika notice amefungua mlango wa toilet. Then nikasikia makelele ikanilazimu niingie chumbani. Nikakuta mlango wa toilet umerudishiwa, nikataka kufamu kulikoni. Akaniita akilalamika msuli wa mguu umembana. Kuingia ndani laula lakwata hata siwezi elezea. Nikajikaza kisabuni nikamsaidia kutoka toilet nikampa taulo ajifunge then nikamkalisha kitandani. Kisha alipo pata nafuu akarudi kwao.

Siku ya ijumaa iliyopita, alikuja kuniomba nimsaidie ku upload picha zake kwa fb, nikaunganisha simu yake na laptop yangu. Akanielekeza folder nika click nikakuta picha zake za kama amezaliwa vile Mmmm jamani. Akajifanya kama amekosea akanionyesha folder nyingine nika uploaded picha zake

Kwa mawenge niliyoyapata nilimwachia laptop aendelee na mafacebook yake. Aijapita mda mrefu akanionyesha picha yake aliyepiga makalio akaniambia nicoment.
Kiukweli mimi ni senior bachelor age yangu 35 nipo na senior bachelor girlfriend wangu ambaye kwake ni kama nimekula yamini, huyu binti anamiaka 17 tu.

No comments:

Post a Comment