Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya
kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi
flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima
tujue kuna vitu vitatu vinavounda na kudetermine ni aina gani ya
mahusiano ya kimapenz watu wako nayo kwa mda huo.
Kuna kitu kinaitwa TRIANGULAR THEORY OF LOVE yaani Intimacy,Commitment
na mwisho kabisa ni Passion. Ntajaribu kuelezea kwa ufupi kila kimoja
kabla sijaingia kwenye point ya msingi yenyewe.
Intimacy.Hii ni hali ya kuwa karibu kihisia na mpenz wako,Kuna hali
flani hivi hutokea yaani unakuta mnashare the same feelings.Sijui ka
ishakutokea unataka tu kumpigia simu mpenz wako ghafla unakuta naye
anakupigia,nafsi zenu zinakuwa zinaongea na unajikuta unachowaza wewe ni
sawa cha mwenzi wako.
*Commitment.* Hali ya mtu kuhakikisha uhusiano na mpenz wake unabaki
salama hata iweje.Mtu hapa anaweza kuwa ktk uhusiano lkn asiwe committed
kwa lolote kuhakikisha uhusiano unadum kwa mda mrefu.Yupo na anakupenda
lkn ikatokea chochote mkaachana ye sawa tu.
Mwisho kabisa ni *Passion*.Kitu kinachoweza kukusukuma uwe katika hali
ya kimahaba na mpenz wako. Muonekano wako kimwili inaweza kuwa macho
mazur kwa mwanamke,wengine makalio nk au unakuta kifua kizur au
muonekano maridadi kwa mwanamme.
BAADA YA KUANGALIA TRIANGULAR THEORY OF LOVE,Tuangalie sasa aina
mahusiano ya kimapenz na hizi aina zinategemea kwa kiasi kikubwa hizo
three components. Yaani intimacy,commitment na passion.
1. CONSUMATE LOVE. Hi ni aina ya mahusiano ya kimapenz ambapo kuna zote
hizo components tatu yaani intimacy,commitment na passion. Na kujua kama
mko ktk aina hii ni pale mnapoweza au kufurahia sex or any physical
affection,kila mtu yuko committed kuhakikisha mnafika mbali mna mda
mzuri wa kuwasiliana,kila mtu anaweza kushow ni kitu gan kinamvutia toka
kwa mpenz wake na kuonesha positive response. Kiujumla hii ndo daraja
la juu kabisa katika aina za mahusiano ya kimapenz.
2. COMPANIONATE LOVE. Hii inahusisha two components yaani Intimacy na
Commitment.Utaona hapa Passion hamna na aina hii hutokea sana kwa wale
marafiki wa karibu mno na mwisho hujikuta wanakuwa na Malengo yao ya
mbali na inaweza kuwa kuoana. Mtu yuko ktk mahusiano unamuuliza
umempendea nn huyo unakuta hana cha kukueleza zaid atakuambia nampenda
tu.Hapa mtu aangalii physical attractions zzt zile lkn yuko committed
kuhakikisha wanaishi pamoja mda wote na anampenda sana. Utakuta mwanamke
anasura mbaya au mwanaume yupoyupo tu ila kutokana na kuwa karibu kwa
muda mrefu wanajikuta wako ktk mahusiano.
3. EMPTY LOVE.Hakuna Intimacy na Passion. Hapa kuna commitment
tu.Unaishi na mtu huna hisia naye hata kidogo wala hata sexual
attractions zzt kwake huzion zaid unachowaza ni kuishi nae tu.Hakuna
kujuliana hali na inaweza pita hata siku au wiki hata huoti chochote
wala kumwaza mpenz wako. Na hii hutokea sana kwa wanandoa,unakuta baba
anachojua ni kuacha hela ya mboga mezan tu na akirudi hata wazo na ww
hana na hata upande wa mwanamke anachojua ni kumpikia mmewe kama wajibu
wake na kuweka mezan kisha kuendelea na shughul zake.No intimacy no
passion.
4.ROMANTIC LOVE.Ktk hii aina tunaona kuna Intimacy na Passion tu,hakuna
commitment. Hapa kuna kushare vitu vingi sana na mahaba yenye hisia Kali
sana sema huwa hayana mipango mirefu au hayadum sana coz no commitment.
Na haya huwa hayafiki mbali sana.
5. INFATUATION.Hapa kuna Passion tu,no intimacy wala commitment.
Infatuation ni Ile hali ya kuvutiwa na mtu flani kimapenz kutokana hasa
na physical attractions,mfano unaweza mwona mwanamke may be anashape
Kali tayar ukawa umevutiwa naye hiyo tunasema infatuation na haiwez kuwa
LOVE coz kuna possibility kile kitu ulichovutiwa nacho kikapotea na
hutamtaka tena. Na hii huwa haidum sana sabb physical attractions may
change according to the environment.Umemwona mwanamke au mwanaume
anapendeza we ukamlukia mwisho akifulia lzm umkimbie tu coz
kilichowaunganisha pale ni physical attractions na sio vingine yaani no
intimacy no commitment.
No comments:
Post a Comment