Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, October 18, 2018

Maungo Yangu ya Mwili Yananipa Tabu Sana, Natongozwa Kila Kukicha



Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu. Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo. Mmenipataaa.

No comments:

Post a Comment