Mtoto
unajua kutabasamu maana kila nikiitazama picha yako napatwa na hamu ya
...., natamani kama ningekuwa ufukweni tukila upepepo mtamu huku
tukipeana maneno matamu, kisha mzuka ukipanda tukatoane hamu au
unasemaje?
1.
Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia uchizi na kuninyima usingizi,
sijui kama una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima huo usingizi, la
azizi nimekumiss kichizi, u hali gani mpenzi?
2.
Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi
mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi
nitunziye langu penzi!
3.
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali
nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi
kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji.
Nakupenda.
4.
Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nituniye
zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu,
miss u ma luv.
5.
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi
unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha
mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza
kuyatibu, nakupenda.
6.
Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi
kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua
kunikamua, luv u.
7.
Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu
mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua,
ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!
8.
Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu,
hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu,
hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu
ndiyo mtaalamu. Miss u
9.
Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika
najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa
kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako
penzi. Happy Birthday mpenzi.
10.
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na
kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.
11.
Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia,
upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia,
nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sin thamani
katika hii dunia!
12.
Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi,
badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la
azizi, pole sana na kazi!
13.
Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia,
mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia
Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo
mambo ya dunia!
14.
Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi
ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua
kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?
15.
Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika
kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika
ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani
la azizi?
16.
Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua
bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika
nikijua nitaumia kama si kujiua. Nakupenda!
17.
Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na
viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine
unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.
18.
Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda!
Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka
umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!
No comments:
Post a Comment