Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Wednesday, October 17, 2018

Mwanamke Akiri Kutembea na Wanaume 100 na Kurekodi Video za Ngono...Apima Ukimwi

Catherine Njeri wa Kenya amesimulia mkasa wake kwamba ameshawahi kkufanya mapenzi na wanaume zaidi ya 100, kurekodi video ya ngono na kujaribu kujiua zaidi ya mara tano lakini hakufa. Na alipokuwa akiona matangazo
ya vifo kwenye magazeti alikuwa anawaonea wivu waliokufa kwani yeye ameshajaribu na kujaribu ila hafi.

Kikubwa anamshukuru Mungu alikwenda
kupima HIV na kukutwa hana maambukizi na hivi sasa anatamani apate mwanaume amuoe aanzishe familia.

Toa maoni yako

No comments:

Post a Comment