Nimepata ajira mpya wiki ya kwanza mambo yalikuwa safi kuizoea na
kuipenda kazi yangu wiki ya pili nikajikuta nimampenda sana huyu kaka
yeye ni moja wapo ya superiors wangu ninareport kwake baadhi ya kazi
zangu.
Nahisi kagundua nimezama kwake so huwa ananiongelesha kwa upole sana
hata nikikosea katika kazi hawi mkali kabisa na haikuwa hivyo wiki ya
kwanza nilipofika,saingine hawezi kuniangalia machoni kwa mda
mrefu,tukionana huwa tunasalimiana kwa furaha na matabasamu ya kutosha
ila ni mtu ambaye yupo busy sana ni wale hardworkers kwenye institution.
Kweli naumia nahisi sijawahi kupenda hivi ofcoz maisha yangu yote
ilikuwa a man ananifata kwanza then ananiconvince mpaka naingia line ila
this is different mimi ndiyo nimefall yeye ni mme wa mtu na mimi ni mke
wa mtu (of coz mimi bado mrembo najijua ninamvuto)Mme wng tuna miaka 8
ndoani sasa anaupendo sana na ni baba bora sana ila ndo nimekumbwa
jamani nimesali na kukemea hii hali ipotee ila ndo inazidi sijawahi
kuwaza hela yake natamani mda wake tu japo siku moja aongee na moyo
wangu hii kiu niliyonayo itulie sisubutu kumwambia nampenda ataniona
najirahisisha kwake. This feeling is very strong jamani it is killing me
nimekuja kusema hii siri yangu huku nisaidieni nifanyaje
Saturday, October 20, 2018
Naumia Sana, Nimemzimikia Boss Wangu Kazini ..Sijui Nifanyaje
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment