Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.
Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo
huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara
anitanie,hivi na vile nk.
Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega
nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa
amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni
mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo
huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.
Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani
na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na
mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui
naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.
Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule
mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga
sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama
wiki nzima niko kwa rafki yangu.
Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi
tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku
zake,nikachanganyikiwa,nikatam an dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo
ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)
sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata
Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii
ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.
Raq
Friday, October 26, 2018
Sinta Sahau Siku Niliyolala na Mke wa Mtu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment