Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, October 25, 2018

Utamgunduaje Msichana Mwenye Tabia ya Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile?

Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania Ya kuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.

Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu Ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyumeitakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa

Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani Kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..

Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama Moto wa petroli.

Inasikitisha sana, tena sana... Imaging umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi..nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi Ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..

Sasa ilikuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?

By Tajiri Tanzanite

No comments:

Post a Comment