Mtangazaji wa Ala za Roho ya Clouds FM, Diva amekanusha vikali taarifa
ambazo zilikuwa zinasambaa mitandaoni kwamba anatoka kimapenzi na
mtangazaji wenzake, Mo Jay ambaye kwa sasa ni mpenzi wa muimbaji Gigy
Gigy.
Mwanaume huyo amefanikiwa kuzaa mtoto mmoja na muimbaji Gigy Money.
Diva amedai hapendi kuzushiwa taarifa ambazo hazina ukweli juu yake huku
akidai hajatoka kimapenzi wa wanaume wengi kwenye tasnia ya muziki kama
watu wanavyodai.
Naomba kwa heshima na taadhima nitoe tamko… Leo Ngoja nijibu..sababu
nimejisikia afu pia mechefukwa tu yan na baadhi ya vitu na watu . . oky
ni hivi Apa juzi kati niliona sana Picha Zangu na @moj360 kwamba tuna
mahusiano. Nilipata simu nyingi za waandishi na nahisi niliwajibu sana
short n clear sababu pia sikutaka mahojiano na mtu yan…… Yan mechoka
kujielezea nilikuwa yan naona fresh whatever…. Truth is sijawahi kuwa na
mahusiano na @moj360 yan ata kutongozana hatujawahi tunaheshimiana
sana. Ni vile mliona mtu anaefanana nae tukiwa katika video ya Pamoja.
Thought i said this once n im saying this again. Sina plan ya kumpost
mtu apa uso ata niwe nae vipi. I prefer privacy siku hizi mekuwa. Kwanza
medate watu wachache sana in the undustry kiukweli kweli Some zilikuwa
stunts si zaid. kwanza nshakuwa mfanyabiashara nawaza hela zaid…and how
to protect my brand na kutoka katika midomo ya watu kwa njia mbaya.
Negativity stak.. Damn it work so hard to be here aisee. Living to the
fullest livin ma life like happy n shit. Hard work y’all kno.. So ndugu
jamaa na marafiki na mashabiki poleni kwa usumbufu. Xoxo Lovely Diva
#temporarypost
Wednesday, November 21, 2018
Diva Akanusha Kuchepuka na Mo Jay wa Gigy Money
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment