Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii
tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga
saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29
years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45
years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana
mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka
hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka
shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba
na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare
hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu
mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya
unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya
uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya
kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi
kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba
tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote
dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi
wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha IFM kinamsogelea eti
hes caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold
diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy
waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa
Stevie Wonder au??
By Jack kwa matangzo0622291525
Sunday, November 18, 2018
Huwa Napata Shida sana Nikikutana na Wanawake Wenye Hii Tabia
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment