Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Saturday, November 17, 2018

Nina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake..Nifanyaje Niache?



Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni..
Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli...

Nafasi niweze kuacha?

No comments:

Post a Comment