Wimbi la Watu Kufanya Mapenzi kwenye Magari hapa Mjini mchana kweupe
limeongezeka kwa kasi...Hapa namaanisha kufanya mapenzi katika maeneo
hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo
hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia
mapenzi ofisini au choo cha ofisi, Beach disco,kwenye siti ya nyuma ya
bus la public,vichochoroni, Kwenye Gari nk,hivi wapendwa huwa ujasili
unatoka wapi?
Na je kufanya mapenzi sehemu hizi kuna raha zaidi ya kufanya kwenye chumba?
Tupe Maoni yako
Saturday, November 17, 2018
Raha ya Kufanya Mapenzi Sehemu Hatarishi zisizo Sahihi..
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment