Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Friday, November 16, 2018

Sanchi Adai Anapiga Picha Za Uchi Ili Kutafuta Pesa Sio Wanaume




Mrembo anayekamata headlines kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili umbo lake matata Janey Rimoy maarufu kama Sanchi amefunguka na kutoa sababu za kupiga picha za utupu.

Sanchi amedai kwamba  watu wengi wanaoweza kumfikiria kwamba anapiga picha utupu ili apate Wanaume  lakini sio kweli yeye anapiga picha sole kwa ajili ya kujipatia pesa.



Katika mahojiano aliyofanya na Amani, Sanchi alisema kuwa kuna watu wengi wanafikiri akipiga picha vile labda anatafuta wanaume ili wampatie fedha, kitu ambacho sio cha kweli kwani yeye ana mtu wake na anamuelewa anachofanya.

Watu wengi sana wananifikiria tofauti labda napiga picha kujiuza au kuwateka wanaume kumbe mimi nafanya kitu ambacho nakipenda toka moyoni na si vinginevyo”.


No comments:

Post a Comment