Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha
siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa
cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO??
Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi
ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi..Unahitaji kupata Mke
"Malaya wa Kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu
inanisubiri,anidake aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA" huku analalamika kwa
uongo na kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO
Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe
au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please DRESS TO
KILL",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji
kwa kila anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI BUNO BURE DEILE" na
hapa TABIA WALA HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao
japo walioa TABIA,kisa MKE HAANGALIKI MARA 2...Mi sitaki hayo
mambo...Nataka nikishtuka Usiku wa Manane pamoja na lepe la usingizi
kunizidia lakini macho yangu yapangue giza totoro la chumbani nione HILI
BUNO pembeni yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue taratibu,"BEBI
NAOMBA KIMOKO"
Goodnite Wasaka Tabia Njema,Ndo maana mnaibuka na vitu kichefuchefu mpaka unajisemea LABDA ALIPEWA DISKAUNTI YA MAHARI!
Mke wangu wa Milele lazima awe ANANISHTUA NIKIMUONA,Tabia ntampunguzia za kwangu!
Usioe Mke ana Shepu kama TANGAWIZI eti kwa kisingizio cha TABIA,Mwanaume
amejawa Tamaa Masaa 24,mnaoa vituko halafu full kuchepuka na
MABUNO,Tabia nzuri waachie MAKATEKISTA!
By Seth
Wednesday, November 21, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Unahitaji Kuoa Mke Malaya Kitandani, Mwanaume Amejaa Tamaa Masaa 24, Acheni Kuoa Vituko Alafu Full Michepuko'
Unahitaji Kuoa Mke Malaya Kitandani, Mwanaume Amejaa Tamaa Masaa 24, Acheni Kuoa Vituko Alafu Full Michepuko'
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment