Ilinitokea wiki iliyopita, wakati natokea ubungo kwenda mbagala jamani
sitosahau, khaaa kwa kweli akina kaka mnatia aibu jamani loooooh! Wakati
gari linatokea Ubungo lilikuwa limejaza abiria na mimi nikiwepo na kwa
bahati mbaya sikufanikiwa kupata siti, hivyo ilinibidi nisimame upande
wa mbele karibia na mlango wa kushukia, wakati safari inaendelea huku
mie nimeshikilia bomba kwa kutumia mkono wa kushoto huku mkono wa kulia
nimeshika smartphone yangu nikiendelea kuchart mdogo mdogo.
Wakati gari limefika Buguruni, kuna baadhi wakashuka na wengine
wakapandakama ilivyokawaida ya daladala lakini kati ya waliopanda pale
Buguruni, kuna mkaka mmoja mtanashati, aliyevaa miwani ya macho, akawa
amesimama nyuma yangu na kondakta alipompomwambia asogee nyuma alikataa,
akidai kuwa nyuma hamna nafasi, na mimi nilishindwa kuongea nae coz ya
aibu lakini safari ilivyozidi kusonga yule kaka akawa ananiegemea tu,
nilihisi kitu kilichovimba kimeegemea katikati ya "makalio" yangu
yani gari likipiga breki ananihemea tu mgongoni.
Nikasema isiwe tabu, mimi kumkaripia mtu mbele za watu kwa kisa kama
kile siwezi nitaaibika. Japo safari yangu ilikuwa ni Mbagala rangi tatu,
nikaamua kishuka kituo cha Uhasibu pale TIA, ili nipande gari nyingine
lakini baada ya kushuka nikiwa nasubiria gari nyingine, katika kujikagua
nikajikuta nimechafuliwa vibaya na katika kuangalia vizuri nikagundua
zile ni "sperms" na sio maji maji ya kawaida kama nilivyodhani. So yule
kaka ndie aliyenichafua
My take
Jamani hii tabia, wanaume hasaa wa Dar na baadhi ya wale wa mkoa mnayo
na mnaiendekeza sana, hivii ni ny*g* au ni tamaa tu, ndio
zinazowasumbua?
Kama mzigo umekuvutia siuombe namba tu, unaweza ukakubaliwa, ule
kihalali na sio kuchafuana? "Mfyuu" Acheni huo mchezo, mtakuja kuaibika.
Wednesday, November 21, 2018
Wanaume Mnayotufanyia Wanawake Kwenye Daladala Mungu Anawaona
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment