1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya
mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo
ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani
unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au
2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni
aibu kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya
hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu
kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe
3. Kucheka kwa nguvu hata
kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi
ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli
4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.
5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya
kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya
kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako
atakuwa mbele kukupongeza
6. Eye contact anapenda kukuangalia
machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa
utaelewa ni kiais gani anakupenda kupitia vile ambavyo anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda si wote wana ujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.
7. Hupenda kukaa mmuda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde
ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu
bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na
wewe.
8. Yupo tayari kuangamiza. Kama msichana anakupenda yupo
tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya
kwa mtu mwingine. Utaona vipi huyo msichana alivyo kwako na wa wengine.
Yaani yupo tayari yeye akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza
akamwamba hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu
vingine.
9.
Anachukulia matatizo yako kama ni yake. Unapomueleza kuwa ana tatizo
anajali tatizo lako kama vile ni lake na hujisikia vibaya sana na
kuhuzunika na atafanya lolote ili aweze kukusaidia utoke katika hilo
tatizo.
10. Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo
tayari kukupoteza kabla hajakuambia anakupenda. Kwa kuwa anakupenda
endapo ikatokea mikwaruzano basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa
ili asikukose
Friday, January 18, 2019
ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment