MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE
Kama
ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye
“vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye
“Kuma” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza
ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua
kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono
lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara
nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea.
Hakuna
sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda
kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada
ya kuzaa.
Ukiwa
mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla
hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa
kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalumu kabisa
yanayoitwa Kegel.
Zoezi
hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni
“Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina
mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia
kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada
ya kujifungua.
Baada
ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel
husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule
“u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na
vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa
awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu).
Unajua
unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii
mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile
"javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au
"inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya
hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya.
Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili
uwahi kumaliza.
Hali
hiyo ya mkundu na Kuma "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia
utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni
pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.
Vilevile
unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia
mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika
fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha
uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe.
Zoezi
hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na
mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.
Ikiwa
unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako
kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia
deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati
ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako
hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi
kuipata toka umaji-maji ujitokeze.
Nitajuaje kama nimepatia?
Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.
Fanya
zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona
mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.
Ikiwa
wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha
ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi
hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia
mbane-mwachie na kamua "cream" yote.
Pia
Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha
ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na
vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako
kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile
unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri
uwezavyo.
No comments:
Post a Comment