Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Tuesday, August 22, 2017

UNAJUA KUMCHAGUA MTU UNAYEMPENDAAAAA????



Ni rahisi kama hivi.
Alikuwa mwanamke mzuri, mwenye ujuzi, mwenye furaha na alikuwa anavutia na mwenye hisia za kutosha. Angeweza kufanya maisha yako yote kuwa ya furaha ukiwa naye kwa haraka .Ubongo wako kukaa vizuri kwa ajili yake.
Kila siku asubuhi unaamka nae mikononi mwako , ulikuwa unajisikia vizuri.Ulimpenda kupita kiasi.Ghafla ,  kama inavyotokea katika ndoa nyingi  changa, Kutokufahamu kwenye namna ya kufanya  mapenzi  vizuri ilileta  stress na changamoto kubwa katika mahusiano yenu.
Kabla ya hapo–Asubuhi moja furaha yako  ikaharibika , Njia za uchanga  za kila siku maishani mwenu–Ukawa unajiuliza kama kuna mwanamke mwingine nje kule anaweza kukupenda kwa urahisi na kwa ubora.
Mwezi ulipopita, Na mawazo hayo yakaendelea zaidi na zaidi kichwani mwako. Ukawa unampoteza akilini mwako mkeo kidogo kidogo. Kila siku. kwa miaka mitano.  Ulikuwa ukimkumbuka kidogo sana. ulimchagua kidogo mno.
Ulikaa nae,Lakini uliacha kumchagua. wote mliteseka.
Kumchagua ilikuwa ni siku ambazo alikuwa akileta zawadi ambazo ulikuwa unashukuru kwa ajili ya hizo;  ucheshi wake, uzuri wake, furaha yake , kucheza kwake, ushirika wake,Na vingine vingi.
Unajikuta unasikitika kwamba, huwezi kukumbatia hayo– hata kuona jinsi yalivyo mazuri mambo aliyokuwa akifanya mwenza wako. Ulilenga tu kuwa na hasira, kukosa usalama, madai na vipengele vingine ambavyo alikuwa navyo  mwenza wako.
Ulipolenga mabaya zaidi, Na ulivyoona zaidi.Na jinsi ulivyoviangalia huko nyuma kwa ajili ya tabia zako mwenyewe, hayo yaliendelea kuharibu mahusiano yenu, kitu ambacho kinakufanya uendelee kutomchagua.
Hivyo ubaya ulikufa baada ya miaka mitano
Alijitahidi ili  uweze kumchagua kila siku. hio ilikuwa kazi kamili. huwezi kumfanya mtu akuchague  hata kama anakupenda . Na kusema kweli hata yeye hakutaka kukuchagua kabisa, ingawa alionyesha dalili hizo , hazikuleta mafanikio hata kidogo.
Sasa ulipotambua, ingawa ,  mara nyingi alikuwa na hasira  kwa sababu ya kukosa usalama  anapokuwa na wewe. Alijisikia kuwa humpendi.kila siku ilikuwa hivyo. Kwa maneno yako na vitendo vyako. Aliogopa pia kuwa unaweza kumtelekeza.
Ukweli ni kwamba ulikwisha mtelekeza siku nyingi..Kwa kutomchagua kikamilifu kila siku kwa miaka mitano, Kwa kulenga kitu kilichokuudhi zaidi kuliko  kitu ambacho ulikiheshimu kwake. Ulimwacha jangwani.
Kama maua mazuri ambayo umenunua kwa ajili ya kuyatunza, lakini ukayaacha bila ya kuyawekea maji  na mbolea ili yaweze kumea vizuri.  yakakauka .hukutaka kufanya urafiki na mwenza wako katika mahusiano yenu.
Hutaweza kumchagua mwanamke unayempenda tena. Ni maumivu kwa kila mtu.
Kama upo kwenye mahusiano , nakukaribisha ujiulize maswali haya; Kwa nini umchague mwenza wako leo?
Kama hutapata jibu la kuridhisha, Ingia ndani zaidi, chimba zaidi na  upate moja. Inaweza kuwa rahisi na  kama  kutambua  kwenye moyo wako wa ndani wa ukweli. Fanya hivyo.  Umepata? Kama hutaweza kupata leo. Jiulize tena kesho. Wote huwa tuna siku ambazo haziko sawa.
Lakini kama siku nyingi zitapita  na bado hupati jibu  la kwa nini umchague mwenza wako na mahusiano yako na inakupa stress, Achilia.
Weka uwazi kwa mwanadamu mwingine kujionyesha  na  uwaone kwa macho tofauti , (fresh eyes) , na moyo mweupe kwamba una uwezo wa kuwachagua kila siku.
Unaempenda anastahili ukweli na umchague kila siku. Unafanya. Pia.

No comments:

Post a Comment