Asante
sana kwa kuendelea kutembelea Muungwana blog siku ya leo tunataka
kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika
mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni
lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe
kudumu katika mahusiao hayo.
1. Imani
Upendo
unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya
mambo yasio onekana unatakiwa kuwa na imani na mwenzi wako imani katika
mausiano ni muhimu sana kuaminiana toa wasiwasi kwa mwenzi wako mwamini
kuwa amekuchagua wewe hakuna mwingine ukopeke yako.
2. Ujasiri
Upendo
unahitaji uwe jasiri katika hali zote uajasiri katika kunena ujasiri
kutenda, ujasiri katika kuuzungumzia upendo kwa mwenzi wako upendo
unamhitaji mtu jasiri sio kitu rahisi kama wengine wanavyozungumzia.
3. Mawasiliano
Upendo
unahitaji mawasiliano maana mawasiliano hutengeneza mahusiano bila
mawasiliano huku na mahusiano ili ujenge msingi mzuri mzuri wa mahusiano
yako unahitaji uwe mtu mzuri katika mawasiliano- mawasiliano yana uwezo
mkubwa sana wa kutunza mahusiano hivyo upendo unahitaji mawasiliano.
4. Asante
Upendo
unahitaji neno asante kwa mwenzi wako kwa lolote atakalo litenda kwako
kama atakupa zawadi asante hasa kwa mpenzi wako ni neno muhimu sana na
linaongeza nguvu ya mapendo uwe unatumia neno hili asante kwa mpenzi
wako maana upendo unahitaji neno hili ASANTE. Hata baada ya kutoka
katika tendo la ndoa sema asante maana ni tendo la ndoa ni matokeo ya
mapendo. Hivyo upendo unahitaji ASANTE.
5. Haki
Upendo
unahitaji haki unatakiwa umtendee haki mwenzi wako usimyime haki yake
ya msingi kumtunza kumpenda na kumtimizia haki zake zote najua unajua
haki za mapenzi wako- upendo ili ukomae unahitaji haki iwapo katika
mahusiano yenu.
Saturday, April 7, 2018
Upendo wa Mapenzi unahitaji vitu hivi
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment